![](/rp/kFAqShRrnkQMbH6NYLBYoJ3lq9s.png)
Mwananchi | Mwananchi
Habari za kitaifa na kimataifa, uchambuzi wa kina, michezo, burudani na zaidi kutoka Mwananchi.
Serikali yaanika hatua za ukarabati wa meli Ziwa Tanganyika
1 day ago · Dodoma. Serikali imetaja mkakati wa ukarabati wa meli katika Ziwa Tanganyika na kuwa mwezi ujao (Machi) ujenzi wa meli ya Mv Sangara utakuwa umekamilika. Naibu Waziri wa Uchukuzi, David Kihenzile ametoa kauli hiyo bungeni Dodoma leo Februari 14, 2025, kuwa Serikali ilishaanza mkakati wa ukarabati wa ...
DRC, Rwanda walivyotoana jasho Mahakama ya Afrika Jijini Arusha
1 day ago · Arusha. Mahakama ya Afrika ya Haki za Binadamu na Watu (AfCHPR) imemaliza kusikiliza hoja za pande mbili katika kesi iliyofunguliwa na Jamhuri ya Kidemorasia ya Congo (DRC) dhidi ya Rwanda kuhusiana na ukiukwaji wa haki za binadamu. Kesi hiyo namba 007/2023 iliyofunguliwa Oktoba 2023, DRC ...
Mechi nne kutimua vumbi Ligi Kuu | Mwananchi
1 day ago · Kuna mechi nne za kuchezesha karata ngumu. Ni leo jioni majibu yote yatapatikana. Mjadala mkubwa zaidi ukiwa kwa Yanga na KMC pale Mwenge, Dar es Salaam. Rekodi zinaonyesha kuwa mbaya kwa KMC kwani mechi 13 walizowahi kukutana na Yanga kwenye ligi imeambulia ushindi mara moja na sare mbili. KMC ...
Vijiji 23 vinavyopambana mahakamani kujinasua kufutwa Mbarali
5 days ago · Dar es Salaam. Baada ya Mahakama Kuu Masjala Ndogo Mbeya kutupilia mbali moja kati ya kesi mbili zilizofunguliwa mahakamani hapo na wananchi kutoka vijiji 23 vikipinga kusudio la Serikali kutaka kuvifuta, sasa wananchi hao wanakwenda Mahakama ya Rufani kupambana kurejesha kesi hiyo ili wapate kusikilizwa.
Serikali yaachia Sh254 bilioni kulipa makandarasi | Mwananchi
4 days ago · Dar es Salaam. Waziri wa Ujenzi, Abdallah Ulega amesema Serikali imelipa takribani Sh254 bilioni ndani ya miezi miwili kwa wakandarasi mbalimbali wanaotekeleza miradi ya barabara na madaraja nchini. Kufanyika kwa malipo hayo kwa mujibu wa Ulega ni utejkelezwaji wa maelekezo ya Rais Samia Suluhu ...
2025 waitakayo Watanzania - Mwananchi
Jan 1, 2025 · Rais Samia Suluhu Hassan ameungana na baadhi ya wananchi kutoa salamu za mwaka mpya ambao wameeleza wanayoyataka 2025, ikiwamo Tanzania isiyo na ajali, inayozingatiaji wa haki na kurekebisha kasoro zilizojitokeza 2024.
Wananchi walia kukamilika kwa stendi mpya ya mabasi Songea
Dec 21, 2024 · Akizungumza na waandishi wa habari waliotembelea mradi huo, mkazi wa kijiji hicho, Celina Kasembe ameeleza kuwa stendi hiyo ikikamilika itasaidia kuwapunguzia gharama za usafiri ambapo kwa sasa wanatumia zaidi ya Sh40,000 mpaka Sh80,000 kukodi usafiri wa teksi kupelekwa stendi kuu ya Songea kwa gharama kubwa.
Anwani za makazi milioni 12.8 zafikiwa nchini | Mwananchi
Jan 7, 2025 · Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Mohamed Abdulla amesema hadi sasa jumla ya taarifa za anwani za makazi 12,823,983 zimekusanywa na kuingizwa kwenye mfumo wa kiserikali
Miaka 63 ya uhuru katikati ya utekaji, raia kupotea, kuuawa
Dec 9, 2024 · Aliyekuwa akifuatiliwa alipiga mayowe kuwa wenye Land Cruiser Hardtop nyeupe walitaka kumteka. Wananchi waliposikia kuwa eneo lao, Tegeta, Dar es Salaam, kulikuwa na watekaj, halafu gari walilotumia linafanana kama lile lililotumika kumteka Nondo, haraka walijichukulia sheria mkononi kuwashambulia maofisa wa TRA, wakasababisha kifo cha Simbayao, gari wakalivunja vioo na kuliacha nyang’anyang ...