News
Kabla ya machweo Mei 3, Israel ilishambulia mji wa kusini wa Khan Younis. Picha za video za NHK zilizochukuliwa katika hospitali moja zinaonesha hospitali hiyo ikipokea wale waliojeruhiwa katika ...
Kassala iko kama kilomita 400 kutoka ngome ya karibu inayojulikana kushikiliwa na RSF, kusini mwa Omdurman, mji pacha wa mji mkuu. Pia ni takribani umbali sawa na maeneo yanayodhibitiwa na ...
Kamati ya ICRC imesema kuwa zoezi la kuwahamisha mamia ya wanajeshi na polisi wa Kongo waliokwama kwa miezi kadhaa katika vituo vya Umoja wa Mataifa mjini Goma limeanza hii leo baada ya mji huo ...
KWA muda wa zaidi ya miaka 30, mashabiki wa Simba wamekuwa wakisubiri kwa hamu siku ambayo timu hiyo itaandika historia mpya katika ramani ya soka la Afrika. Hatimaye, siku hiyo imefika. Simba ...
Waziri wa Elimu,Sayansi na Teknolojia Profesa Adolf Mkenda akizungumza katika mkutano mkuu wa Shirika la Mtetezi wa Mama uliofanyika leo Ijumaa, Aprili 29, 2025, Dodoma. Dodoma. Waziri wa Elimu, ...
gari ilivurumishwa katikati ya umati wa watu waliokuwa wakihudhuria tamasha la mitaani la Kifilipino linalojulikana kama "Lapu Lapu" katika mji wa magharibi wa Vancouver nchini Canada.
“FRANSISKO, Kwa salamu za upendo na matakwa mema, ninaitumia fursa hii kurudia kuonyesha hisia zangu za heshima ya dhati,” umeeleza ujumbe huo. Ujumbe huo, umewasilishwa na Balozi wa Kitume, Angelo ...
MBUNGE wa Vunjo, Dk Charles Kimei (CCM) amehoji serikali akitaka kujua ina mpango gani wa kuboresha miundombinu ya masoko ya vijijini nchini, ikiwemo sakafu na paa. Serikali ikijibu imesema, imejenga ...
Upande wa Jamhuri katika kesi ya uhaini inayomkabili Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Tundu Lissu, umeiomba Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, jijini Dar es Salaam, kutoa amri ...
Tundu Lissu, kiongozi wa upinzani nchini Tanzania, anakabiliwa na mashtaka ya uhaini, kosa ambalo adhabu yake ya juu ni hukumu ya kifo. Alishambuliwa kwa risasi 16 katika jaribio la kumuua mwaka ...
Pia majengo kadhaa ya makazi yaliharibiwa katika shambulio hilo kwenye jiji hilo lililo karibu na mstari wa mbele na ambalo lina wakazi 630,000, wengi wao wakiwa wakimbizi wa ndani kutoka maeneo ...
Some results have been hidden because they may be inaccessible to you
Show inaccessible results