Makamu wa rais wa Marekani Kamala Harris amekuwa akikosolewa na maafisa kwa kutoa hotuba zinazopigia debe haki za wapenzi wa jinsia moja wakati wa ziara yake ya siku tatu katika bara la Afrika ...
Utafiti unaonyesha kuwa mitazamo ya vijana wa kizazi cha sasa cha milenia kuhusu uchumba na ngono ni tofauti na watangulizi wao. Watu waliozaliwa kati ya mwishoni mwa miaka ya 1990 na mwanzoni mwa ...
(Nairobi) – Kukana kwa Wizara ya Mambo ya Nje ya Tanzania kuhusu matamko ya chuki dhidi ya mapenzi ya jinsia moja yaliyotolewa na mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam ni hatua nzuri, lakini haitakuwa na ...
Wamepanga sherehe kubwa, kupamba maduka na kufanya maonyesho ya droni kwa ajili ya mpenzi asiye halisi. Maelfu ya vijana wa kike China wanazama katika mapenzi ya mtandaoni kupitia mchezo wa simu wa ...
Mitandao ya kijamii siku hizi imeanza kutumiwa na watu wengi kuwatafuta wachumba. Je, ni muda upi unaostahili kuchukua kabla ya kukutana ana kwa ana na mchumba wa mtandaoni? Tumewashirikisha wananchi ...